Jeanclaude
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 259
- 238
Ahsante mkuu kwa ushauri wako mzuri. Sina nia hata kidogo nataka nimuepuke nisiwe chanzo cha ndoa ya mtu kuyumba.Ogopa mke wa mtu kijana ni hatari sana kumbuka pia upandacho ndicho utavuna.
Ahsante Heaven...yaani ananiweka pabaya huyo dadaMuogope kama ukoma.......stress za kwenye ndoa yake anakuja kuzimalizia kwako..........
we utakuwa ni Back up yake tu.......
Ahsante Heaven...yaani ananiweka pabaya huyo dada
visichana vingine sijui maisha ya kwao yanapokuwa magumu vinakimbilia kuolewa ili vipate service wakati mikiki ya ndoa haviiwezi,,,,matokeo yake kutwa kucha vinatafuta watu wakuvikaza nut zao,kaa nae mbali ikiwezekana kata mawasiliano kama unavyomchunia x wako mnapogombana
Ukidhini na mke wa mtu iyo dhambi itakutafuna milele achana na ujinga huo kabisa
What??...halafu nikioa halafu mke wangu akawa anapewa mambo nitakuwa na moral right ya kuchukua hatua?mpe mambo huyo.
na ukimuentertain atakuweka pabaya kweli......