Mpotezee kwa kila mtego anao kuoneshea,yeye akikuangalia wewe mpotezee jifanye kama humuoni wala usiwe na urafiki nae unao ashiria mapenzi vinginevyo ukishindwa utakua na wewe unamtaka,emu fikilia kwanza angekua ni mkeo anamfanyia huyo jamaa yako hivyo wewe ungejisikiaje
Km Sio mzoefu,bora uache maana watakutatua marinda
Uskute mchizi kampanga mkwe akutege ili wapate kitu
Tafadhali usijichanganye watakukula yy na mkwe
Hahahaha
Kinachoendelea naona yetu, ni tabia mby kuliko zote.na nadhani kosa ni kutembelea tembeleana mm na rafiki angu, kimsingi naacha kabisa kufika kwa best angu, tutakutana nje ya nyumbn kwake.
Nimependa ushaur wa kukaa mbali na huyu mwanamke, mbali kabisa. Na kuanzia Leo sitataka kumuona sura yake.
Acha kwenda kwao,kama rafiki yako mtakutana hukohuko nje na nyumbani,nasema haya nikiwa na ushahidi,ukimfanyia wema mke wa rafiki yako tegemea kuripwa fadhira ya K