..Mke wa mtu ameniota..

Ni kweli kabisa mjibu message yake kuwa ndoto maana yake ni vitu vya kufikirika ambavyo si halisia!mjibu uonyeshe kama hupendi sana anakotaka kupelekea hisia zake!
 
Tuko ndani ya jamii ili tuhusiane(tuongee,tuchat,tukwazane,tufurahishane,tuotane,tupendane,tutongozane n.k)

Umri si kigezo katika mapenzi(cancel this)

Si vibaya kuchat na mke wa mtu isipokuwa zingatia kutokuwa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yao.

Nakushauri:mjibu meseji,endelea kuwa na msimamo chanya kwake,usijishtukie kuwa anakutaka (ukifanya hivyo itadhiirisha kuwa wewe ndiye umtakae,na wataka kukwepa lawama ya baadaye)usimpe nafasi akakurubuni kwenye ngono.

NB:Umshukuru sana kwa kuweza kushare nawe ndoto tamu kama hiyo,ni wachache wenye ujasiri huo.
 
hapo kwenye red ndio upuuzi wako, kwanini utamani kampani ya mshenzi kama na wewe sio mshenzi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…