Mke wa mshikaji simuelewi

Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
Kula kimasihara
 
Mumewe akigundua ukaribu wako na mkewe atahisi kua wewe ndio sababu ya ugomvi wa kwenye ndoa yao,kitakachofuata najua unakitambua tayari.
 
Usitembee na mke wa mshkaji wako au ndugu yako utapoteza vingi sana na utajihisi una hatia siku zote za maisha yako.
 
Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
Mimi nakubanika kwanza ndio itakuwa mara yangu ya kwanza kula nyama ya mtu

Kichwa chako kinakuwa mchemsho wa supu asubuhi
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…