Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,310
- 4,206
Mke wa mbunge wa zamani Arusha Felix Mrema kadhulumiwa nyumba na kutupiwa vitu vyake nje.
Licha ya mahakama kuu Arusha kutoa uamuzi wa mgawanyo wa mali kati ya Milka Mrema na mume wake Felix Mrema lakini kazuiwa kuingia kwenye nyumba yake ambayo iliuzwa kwa mmiliki mpya.
Sasa hivi mama huyo analala nje na vitu vyake vilivyotupwa.
Mama huyo anamuomba Rais samia aingilie kati amsaidie. Pia kaendelea kusema ajipiganii pekee yake bali na wanawake wote wanaonyanyasika.
Felix Mrema alipotafutwa kwa njia ya simu kwa madai ya kutuumiwa kuuza nyumba hiyo alikataa kulizungumzia swala hilo na kusema mambo yako mahakamani.
Video hapo chini.