Mke wa kuoa huyu hapa

Mmh! Huyu anakula sana. Yani kama ni gari basi hii ni V8 kwa ubugiaji wa mafuta...
 
huyu ndio safi. hongera sana kwa mume wake maana atakuwa ana muhimiza kula chakula cha kutosha
 
Akitoka hapo anashushia na mihogo ya kuchoma na maandazi.
 
huyo ndo anafaa. kama anakula sana basi ujue pia ana bidii ya kazi.
 
huo uzi wa kubadilisha kituo cha kazi uko wapi, yoa direction.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…