Bas sawaBut not the last
Kuna raha yake bwana hata kama anaogopewa huko nje mkewe ana uwezo wa kumtuma maji na akayaletaTatuzo sio "Jambazi" au "Afisa"... Hisia za mapenzi huwa hazifunikwi na kiti chochote kile.
Ukute jambazi mbali na ujambazi wake ,anavitu Extra Ordinary ambavyo vinammaliza binti mpaka anashindwa kuuona ujambazi.
Ila mmhhh wanawake mna mioyo!!
Nikweli mkuuKuna raha yake bwana hata kama anaogopewa huko nje mkewe ana uwezo wa kumtuma maji na akayaleta
Wewe Jambazi ni mtaalamu. Hizo jela za South huko zote anazifahamu na mipango mingine anapanga akiwa lupango mke anapelekewa pesa kama kawaidaJambazi kakamatwa, hakuna tena income, shoshti hawezi kusema wampe milion 5 waache ujambazi ambao kesha a chishwa kinguvu za sheria
Sky Eclat acha kamba