Huyo mwanamke aamshwe mara kwa mara usiku kwenda chooni kukojoa.yote sawa! Ushauri wako ni muhimu.
Mke wenyewe ndio wewe! Kuwa muwazi tukusaidie bibie! Dawa zipo utakaa sawa kabisa kabisa!Please, wanajamii forums, mwenye anafahamu dawa ya mwanamke kukojoa kitandani amsaidie jamaa yangu! Yaani anaweza akaacha mwezi mzima hajakojoa, then anakuja kushtukia anakojoa tena kitandani!
Wakuu jamaa yangu haelewi chanzo nini na jinsi ya kumaliza tatizo hili. Msaada wenu tafadhari.
Hapana.siyo Kila jamboSiitaji kujua kama ni mke wa jamaa au jamaa mwenyewe niwewe ila ushauli wangu mpeleke hospital yawezekana ana kistula/vistula