Mke wa jamaa yangu ni kikojozi

Mke wa jamaa yangu ni kikojozi

Holoholo-Baba Kijacho

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,744
Reaction score
13,808
Please, wanajamii forums, mwenye anafahamu dawa ya mwanamke kukojoa kitandani amsaidie jamaa yangu! Yaani anaweza akaacha mwezi mzima hajakojoa, then anakuja kushtukia anakojoa tena kitandani!

Wakuu jamaa yangu haelewi chanzo nini na jinsi ya kumaliza tatizo hili. Msaada wenu tafadhari.
 
Serious mlete kwangu akae miezi mitatu kwa uangalizi baada ya kumpa dawa ya 1*1 kwa siku 3 tu. Mmewe anaweza ambatana nae na wakaishi pamoja kwa muda wote.

Lengo ni kuhakikisha tu kuwa amepona na malipo ni baada ya kuthibitika kuwa amepona.
 
Please, wanajamii forums, mwenye anafahamu dawa ya mwanamke kukojoa kitandani amsaidie jamaa yangu! Yaani anaweza akaacha mwezi mzima hajakojoa, then anakuja kushtukia anakojoa tena kitandani!

Wakuu jamaa yangu haelewi chanzo nini na jinsi ya kumaliza tatizo hili. Msaada wenu tafadhari.
Mke wenyewe ndio wewe! Kuwa muwazi tukusaidie bibie! Dawa zipo utakaa sawa kabisa kabisa!
 
Nashauri akutane na daktari bingwa wa mfumo wa mkojo amchunguze kwa undani na kama huna unayemfahamu njoo dm nikupe maelekezo zaidi
 
Tatizo dogo sana hilo, kunammea kutoka Congo unaitwa swaswa ni funga kazi, aandae 250k ila nikimpatia dawa asishituke maana unafanana na mchicha kwa mbali kikubwa awe na imani tu.
 
Back
Top Bottom