Mke wa jamaa ananisumbua

Acha ujinga kabisa kwani mlianza vipi paka akapata nafasi ya kukuzoa mpaka mkafikia wakati wa kuandikiana sms inaonekana mazingira umeyatengeneza wewe mwenyewe afu unakuja kutusumbua
 
Yaani mtu amekukalibisha mjini na kukulea kwa miezi 8 ndoo unataka kumshukuru kwa Kutafuna mke wake? Unatafuta laana wewe.
 
A man who hires a detective should be included in the list of suspects. - Mpitagwa
 
Last edited by a moderator:

Wewe ndio mtu bhana huu ushauri bomba sana ila unapotaka kusaidia angalia jinsi bora zaidi ya kusaidia sio kuchanganya fisi na kondoo utafunaji utatokea tu. Nani alikwambia uruhusu njemba nzimanzima tena haijaongozana na mkewe ije ikae kwenye huduma ya mkeo? asipotamani yeye mke anaweza kutamani na tatizo ni wewe uliyemkaribisha jamaa kinyume na utamaduni wa kibinadamu. Si ungemuweka guest kama una ubavu na kama ubavu huna si ungemuacha atafute geto la mabachela wenzie. Kwa maoni yangu ningekwambia mgegede mpaka atapike ili kumkomesha jamaa ajutie ubitozi wa kuishi kiholela na kukaribisha fisi ndani ya zizi.
 
Kwanza jiulize kama ni mke wako angekuwa kama yy ungependa afanyw vp?

ha ha haaaaaa.... inauma eeeeeeeeeeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…