bora umfadhili mbuzi utamnywa mchuzi; binadamu atakuudhi!
hivi human race imepotelea wapi? mara wenhine wamesomeshwa na hawamtaki ngumbaru aliewasomesha, mwengine kapewa na pete ya uchumba hamtaki lecturer tena! ngachoka!
wanaume wakitongozwa hawaachi, zali la mentali hata kama Mwajuma Ndala Ndefu
Mme wa mtu maziwa lolmke wa mtu sumu.
...sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.

wee mgegede tuu
Cha mtu mavi ukikiona kitemee mate......Napenda kuwa
muafrica
Nilipofika hapa mjini nilikua sina ndugu,dah nikakutana na jamaa mmoja ambae tulielewana sana nilikaa kwake mda wa miezi 8 mpaka na me nipokua mwenyeji nikapata chumba changu za kupanga na nikaanza kuishi kwa kujitegemea me ka me..sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.
:yo::yo::yo::yo:Una hakika hujui cha kufanya wee kaka wewee?? Khaa..!