Hivi we kijana, unatafuta laana au ndio kusema mshipa wako wa haya ulishakukatika wakati unavunja ungo...
Kuota tu nywele za kwapa basi unajisikia kuchomeka chomeka kila mahali hilo jongoo lako...
Eenh ukishamfanya bibi mwenye kupenda vijana nini kifuate? uingie kwenye Guiness World Book of Records au?