SINGLE RASHID
Member
- Nov 8, 2012
- 71
- 15
natumain wote wazima...
Jaman ndugu zako naombeni ushauri wa bure hapa mtaani kwetu kuna mwanamke anasumbua sana, huyu mama ni mke wa babu wa mtaani kwetu hapa umri miaka kama 55 hivi.. Ana nyege mbaya kwa vijana bahati mbaya kaniangukia mimi anataka ``mshedede`` hivi nimpe kitu au................
kama mshedede hauna longolongo kwenye kusimama, wee mpe tu, mkinasa usinitafute nije kukuvutaNatumain wote wazima...
jaman ndugu zako naombeni ushauri wa bure hapa mtaani kwetu kuna mwanamke anasumbua sana, huyu mama ni mke wa babu wa mtaani kwetu hapa umri miaka kama 55 hivi.. Ana nyege mbaya kwa vijana bahati mbaya kaniangukia mimi anataka ``MSHEDEDE`` hivi nimpe kitu au................
mkuu anajileta yeye mwenyewe tena kwa mambo ya kingono haswa na hivi mashaallah kajaaliwa kijungu ndo kabisaaa akipita hapo ni kujitingisha tuu mpaka keroVijana wa siku hizi, unatamani mpaka kikongwe? Utapata nini? Utaweza kukikunja au utamvunja bure? Kinakuvutia nini? Kuna raha gani hapo? Kibibi cha watu, mke wa babu still bado unafikiria kuwa na mahusiano naye ya kingono?! Jamani vijana! Hebu tuwe tunaenda nyumba za ibada yumkini tukaguswa na kubadilika!!! Aaaghhh!!!!
Msamehe menopause yamsumbua
mpe mambo mpaka ajeuke kujana alafu mwambie amtukane babu na zile zinakuwaga mnato sana nenda haraka sana
mpe mambo mpaka ajeuke kujana alafu mwambie amtukane babu na zile zinakuwaga mnato sana nenda haraka sana