Naye Kiba akome, watu wakiambiwa waoe wanaofanana nao utamaduni wanaleta ujuaji....wanawake wa Pwani hawajui kutulia kwa mume, kutwa kiguu na njia kwao, Yani mke kwenda kukaa kwao miezi mitatu bila sababu ni kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ukipeleka kesi kwao wanakushangaa[emoji1787]
Sasa Amina kashaona mume zipu mbovu, halafu yeye kutwa yupo Mombasa....anataka mwenzake ajiunge Chama la
dronedrake au?
Dawa ya mume wa hivo unakaba hadi kivuli, unampa Hadi unampa tena, Yani akienda huko nje akakojoe upepo tu, sheeendhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]