Huyu mama anayezungumziwa hapa ni mama wa nyumbani au yule aliyeajiriwa? Wanaume hamjaoa punda. Kama una upendo kwa mkeo kuna masuala mengine inabidi uwe flexible.
Wanawake wengine yaani anaenda kuolewa kwakumradisha tu. Lakini Kiukweli hujaoa bado ila unajuta kuwa nae. Na ukimwelekeza anaona km unamnyanyasa vile na ukinyamaza anabweteka km vile amefika mbinguni