Mke raha jamani

Kaizer hata nilishamsahau kabisa maana foleni nililonalo wengine nimewatua vituoni.....lol

mi nipo tu nasubiri zamu yangu, mvumilivu hula mbivu, ila atoto hajakwambia kama siku hizi nimehamia mtaani kwake in fact tumepanga nyumba moja?
 
Last edited by a moderator:
Ni heri kushukuru hata kwa one day in paradise . Achana na wanaosema wait for 5 years you will see. Nyota njema huonekana asubuhi. Ndoa ni efforts za wawili na wote wawili mtaenjoy . Congratulations and remain positive , it can be heaven if two people decide so.
 
Mimi nina miaka 26 ya ndoa na ndiyo upendo umekoleza. Mleta hoja wasikukatishe tamaa, ndoa nzuri jamani.
 

mbona unanitamanisha kuoa mapema jamani we mdada hebu naomba nipm haya maneno yako yamegusa kunako mtima wa moyo
 
Mtoa thread Pia akikuzingua mkeo usisahau kuja kutuambia tena maana hamna barabara ndefu isiyo kuwa ako na kona, mko na miaka 7 ya relationship ni mingi, ukikutana na kona ukuje tena kwa jukwaa utueleze truth ikoje?
 
Naona mko season 1, mkianza Season 2 na ya mwisho usisite kuja kutoa ushuuhuda! Kila la kheri!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…