concrete15
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 882
- 323
MWAKA WA SABA HUU WEWE NIMEPATA MKE SIO DUNGAEMBE MORE THAN 7YEARS HIYO KABLA HATUJAOWANA . Na UKIWA NA NEGATIVE MAWAZO LAZIMA YAKUKUTE KWELIsubiri bado muda wa kulia
neno samahani huwa nalipenda sana , yaani nkishaambiwa nisamehe mke/mpenzi/mamawatoto/ mpenzi wangu yaani kama sio danger days naishia kumpa game kama ishara yakudhibitisha nmemsamehe
neno samahani huwa nalipenda sana , yaani nkishaambiwa nisamehe mke/mpenzi/mamawatoto/ mpenzi wangu yaani kama sio danger days naishia kumpa game kama ishara yakudhibitisha nmemsamehe
Kwakwel neno nisamehe litoke kwa m'ume n kibarua kizito.. Ndio hapo minuno inaanzaga !!
Mambo mengine ukiyasikia unabaji kutingisha kichwa na kusonya tu na kujiukiza ulikosea vipi hadi kukutana na balaa?
Ila mwisho wa siku, unashukuru kwa yote! Maisha yanaendelea...
kwani vipi boss cjaelewa
Hahaha! Hii thread imenikumbusha mbali nakumbuka nilikuwa na demu nikiwa nimemkosea huwa nawah kumwomba msamaha ili alikuwa ananizungusha kunikubalia msamaha wangu kumbe mnafurah kuombwa msamaha
MWAKA WA SABA HUU WEWE NIMEPATA MKE SIO DUNGAEMBE MORE THAN 7YEARS HIYO KABLA HATUJAOWANA . Na UKIWA NA NEGATIVE MAWAZO LAZIMA YAKUKUTE KWELI
sikuombei mabaya ila kosa la siku moja waweza sahau hiyo miaka.MWAKA WA SABA HUU WEWE NIMEPATA MKE SIO DUNGAEMBE MORE THAN 7YEARS HIYO KABLA HATUJAOWANA . Na UKIWA NA NEGATIVE MAWAZO LAZIMA YAKUKUTE KWELI
sikuombei mabaya ila kosa la siku moja waweza sahau hiyo miaka.