nipeukweli
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 656
- 348
yaani mume anijie kasoma sijui kaangalia movie anataka nimpe t*G* nimpe eti mwanamke mpumbavu atavunja nyumba yake! thubutu.................... kwanza kama ananiheshimu hatathubutu hata kunitamkia
nilidhani na wewe umejiunga na lile group jingine.
huwezi jua bwana, nyuma ya screen kunaficha vikongwe wanaojidai mashalobaro/warembo au vijana wanaojitangazia kuzeeka.
haya mzee mwenzangu, mambo ambayo vijana wa sasa wanayoyafanya hata ukiyafikiria unajihisi unatenda dhambi
yaani mume anijie kasoma sijui kaangalia movie anataka nimpe t*G* nimpe eti mwanamke mpumbavu atavunja nyumba yake! thubutu.................... kwanza kama ananiheshimu hatathubutu hata kunitamkia
Nyumbakubwa nimeongelea universal zaidi
kuna ndoa hasa za Wazungu yapo saana
na waswahili wanao olewa na wazungu wanayakuta ingawa hawasemi
back to kwako
uko tayari kujifunza stripping na lap dance mumeo akikuomba?

kwa cost ya nani? pole sana.
bra zote hizi! kisa na mkasa?
Ukisoma vizuuri humu utakuta kila mwanamke anasema
ukiacha 'tigo' na 'threesome' mengine niko tayari kufanya au kujifunza
sasa hili la 'kujifunza hili' ndio main theme hapa
what women are ready to do for their husbands....
na kama ni sahihi kwenye ndoa
kumbuka hapa ninachosema ni kuwa
yaweza kuwa mumeo anayapata kwingine now
na hataki wewe umfanyie
kumbe na wewe uko tayari kuyafanya mfano hilo la 'lap dance na stripping kama King'asti alivyosema kule
ukiondoa hayo mawili, mengine yanaweza kufanyika. hii itategemea na comfortability ya wote wa2, kama mnaweza kujifunza na ikawa poa tu, i.e. hakuna mmoja wenu anayehisi ananyanyashwa, why not?Ukisoma vizuuri humu utakuta kila mwanamke anasema
ukiacha 'tigo' na 'threesome' mengine niko tayari kufanya au kujifunza
sasa hili la 'kujifunza hili' ndio main theme hapa
what women are ready to do for their husbands....
na kama ni sahihi kwenye ndoa
kumbuka hapa ninachosema ni kuwa
yaweza kuwa mumeo anayapata kwingine now
na hataki wewe umfanyie
kumbe na wewe uko tayari kuyafanya mfano hilo la 'lap dance na stripping kama King'asti alivyosema kule
Tuwe realistic bana....ni stripe mi najiuza? Hivi ataanzia wapi kuomba ni stripe wakati am always naked while in bed????
Haya mambo kama hamkuanza mkiwa lovers ni ngumu kuya introduce ndani ya ndoa. si kila kitu cha kujifunza bana.
Inakuwa too artificial...
Najua kuna wanaofanya lakini si kwa kuombwa ni kwa kuwa wana vi element vya ukomedi.
Si wengine hata kucheza show hatujawahi. Lol.. Iwe stripe dance.
Kama kucheza basi tucheze wote si mie ndio niwe kideo.
kwenye cost sikumaanisha hela rafiki, nilimaanisha cost ya afya yakoCost ya baby dady ofcourse, ikishindikana yangu wenyewe! LOL! Shosti kitamnadani unalala na braaaa? Afu mi yangu madogooo, sasa nawaza yakisinyaa baada ya kunyonywa si itabaki NGOZI inaninginia? Nyie mliojaaliwa ndo bra zinawafaaa!
Unajua The Boss haya ya 'anapata kwingine' yataharibu hii mada kabisa. Yani unataka tuanze ku compete na vimada tutaweza wapi si ndio yale yale ya kuishia kutoa TIGO...yani nikijua unapata nje ndo ujua hata kifo cha mende hupati.
Malizia haja zako huko huko.
Tuwe realistic bana....ni stripe mi najiuza? Hivi ataanzia wapi kuomba ni stripe wakati am always naked while in bed????
Haya mambo kama hamkuanza mkiwa lovers ni ngumu kuya introduce ndani ya ndoa. si kila kitu cha kujifunza bana.
Inakuwa too artificial...
Najua kuna wanaofanya lakini si kwa kuombwa ni kwa kuwa wana vi element vya ukomedi.
Si wengine hata kucheza show hatujawahi. Lol.. Iwe stripe dance.
Kama kucheza basi tucheze wote si mie ndio niwe kideo.
ukiondoa hayo mawili, mengine yanaweza kufanyika. hii itategemea na comfortability ya wote wa2, kama mnaweza kujifunza na ikawa poa tu, i.e. hakuna mmoja wenu anayehisi ananyanyashwa, why not?
na sijui labda kama sijaelewa kinachozungumziwa hapa, kwa mawazo yangu, namna/jinsi/njia ambazo wanandoa wanatumis kuburudishana ni up to wanandoa wenyewe
Yaani unaongea kitu exactly nilichofikiria
mfano wewe hujawahi fanya kwa mumeo
sasa mumeo akutane navyo nje huko halafu adate navyo
je wewe utasema ahh si bora angeniambia nikamfanyia?
au utasemaje? mfano ni kitu ambacho si taboo kubwa kwako
kwenye cost sikumaanisha hela rafiki, nilimaanisha cost ya afya yako
ndo maana nimesema, kama wote wapo comfortable kwa hilo waendelee, huwezi jua, labda huyo jamaa alimuoa sababu tangu wanaanza alikuwa anampa hiyo kitu ndo hasa sababu iliyomfanya amuoe. lakini haiwezekani hatukuwa tunafanya toka mwanzo, ghafla unanijia kuniambia tufanye hivyo. kama kitu ambacho nadhani nitaweza kujaribu nitafanya hivyo otherwise ahesabu maumivuFP usisahau hizi taboos zinatofautiana watu na watu
zipo ndoa zingine hayo tayari ni part of the menu now...
so kuya mention ilikuwa tu kupanua wigo wa watu kuzungumza
Yaani unaongea kitu exactly nilichofikiria
mfano wewe hujawahi fanya kwa mumeo
sasa mumeo akutane navyo nje huko halafu adate navyo
je wewe utasema ahh si bora angeniambia nikamfanyia?
au utasemaje? mfano ni kitu ambacho si taboo kubwa kwako
wow! huyo baba watoto akitaka yabaki hivyo basi asikuzalishe. otherwise akubali matokeoNaelewa, ila ndo hivo ntabaki na NGOZI ZINANING'INIA kifuani!!! LOL!!! Maisha haya!!!!! Ntakuwa najifichaje sasa baba watoto asinione bila bra!!!? Hahahaaaa!