Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

yaani mie nashangaa tu
ya nini kujichosha na mambo mengi hivyo?

Mbona kokrochi killer inatosha kabisa?

@FP, njoo unieleweshe
 
yaani mie nashangaa tu
ya nini kujichosha na mambo mengi hivyo?

Mbona kokrochi killer inatosha kabisa?

@FP, njoo unieleweshe
nimeipenda hiyo terminology "kokrochi killer" duh safi sana
 
Makubwa!! Kama kweli wampenda mkeo kwa dhati na kumheshimu sidhani kama itakuingia akilini wazo la kutaka kufanya nae three some. Just my thought!
 

Kiboga ulijaribu ukashindwa au?
 
humo kwenye RED labda wake wa zamani, au wale ambao wapo kijijini, kuna wengine tumezaa na ukikatiza mtaani unapata shida kuwa-convince watu kuwa hao unaotembea nao ni wanao. wake wengine ukidhani waumje zao wamekuja kwako sababu wake zao wamechoka kwa kuzaa ukikutana nao wewe ndo unajiona mzee.
hata wewe Mungu atakapokujalia usijiachie ili mume awe na sympathy kwako sababu tu ume-sacrifice kuanzisha familia. jiweke vizuri kwa ajili yako
 
Makubwa!! Kama kweli wampenda mkeo kwa dhati na kumheshimu sidhani kama itakuingia akilini wazo la kutaka kufanya nae three some. Just my thought!

Je lap dance?
mume kutaka lap dance kwa mke? ni sawa?
 

mumeo akikujia kutaka 'lap dance' mfano
utasemaje?
 
yaani mie nashangaa tu
ya nini kujichosha na mambo mengi hivyo?

Mbona kokrochi killer inatosha kabisa?

@FP, njoo unieleweshe
shangaa wewe mzee mwenzangu, hawa vijana wa siku hizi akina The Boss wanatafuta viburudisho eti................. ngoja wazee Dark City na Asprin waje hapa waseme kama hayo yote hapo wanayajua. kokrochi killer ndo yenyewe bana, mengine yote mbwembwe tu...................... objective ni moja mlima upandwe, kivipi! haijalishi
 
Last edited by a moderator:

sizungumzi as mimi
nazungumza niliyoyasikia pande fulani fulani hivi
aliekuambia mie kijana wa siku hizi nani?
 
Hilo swala la threesome kwenye ndoa umelitoa wapi? Labda inawezekana kwa baadhi ya ma polygamist.

Otherwise hizo demand nyingine zinaweza kuvunja ndoa...kama alivyosema King'ast...sijuhi tigo sijuhi threesome...huo ni ushetani na wala si ndoa.

Ukitoa hayo am ready to learn and do anything.
 

hahahahaaaaa! Nakubali mpo wabishi wa town kwa kujirudisha, ila bwana majorty wanaendekza supu na mitori ya maternity, na wachache sana tumbo na nido linarudi as before @ Mangesto Kimambi ila wengi wanarudi kiasi tu. Wanaume kuja kwangu huo Uhuni wao tu, na mie ndo najichanga, nikibahatika vibaby 2 nawahi Thailand kupiga JEKI nido, mambo ya silicon na implants is the risk im prepared to take. chezea uzeee!!!!
 
what if mtu anataka asilimia 100?
na mke hawezi hata hiyi 45 asilimia?

yes Boss kuna kitu kinaitwa conditioning... I belief mwanamke yeyote timamu anapenda aitunze ndoa yake, any how na hataki kuonekana mzembe, si unajua maandiko yamesema "mwanamke mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe"???

sasa under normal circumstances inabidi aanze kuzoeshwa hizi "fun" kwa levels tena gradually. kwa mfano huwezi kumconvince ghafla kwa sex on the beach kabla hajaweza hata kukuprovidia a french one in public...so u'll have to begin by conditioning her gradually mpk somo liingie. hivi kwa mfano siku mpo kwny kaparty au kaouting, alafu ukamuacha ameketi wakati unarejea from her back ukamgrab gently na kumpa kafrench ka nguvu fasta, kama ni mkeo kweli hatakubali kukuaibisha, itamlazimu kuunga tella hapo....though mara ya mwanzo moyo utamdunda kweli (kwa hofu ya macho ya watu)...ila after several encounters of the kind, somo litaingia...kwa hbr ya sex, yaweza kuanza kwa gari then bdae gari ikaanza pakiwa kwenye kigiza kipupwe flani milango wazi na ikafanyika, later on the beach itaeleweka...
mfano mwingine, dnt expect ur wife to be able to strip for u wakati hata kukukatikia akiwa n**ed ni shida kdg...inabidi azoezwe hilo kwanza then baadae shule ya stripping inaweza ikakubalika

as usual...I stand to be corrected....
 
asante, then am not insane!

 
Last edited by a moderator:

Hapa umenena vyema FP !
 
Last edited by a moderator:
sizungumzi as mimi
nazungumza niliyoyasikia pande fulani fulani hivi
aliekuambia mie kijana wa siku hizi nani?
nilidhani na wewe umejiunga na lile group jingine.
huwezi jua bwana, nyuma ya screen kunaficha vikongwe wanaojidai mashalobaro/warembo au vijana wanaojitangazia kuzeeka.
haya mzee mwenzangu, mambo ambayo vijana wa sasa wanayoyafanya hata ukiyafikiria unajihisi unatenda dhambi
 
Kiboga ulijaribu ukashindwa au?

Nimekwambi hiyo ni DHAMBIIII YA MAUTI!!!! Mola mwenyewe kakataza na alishusha moto Sodoma kule!!! Nitajaribu vipi bwana!!!! Astaghafilulai!!!!!!! Afu sipendi hata mtu akitaje taje, Hata kukitaja dhambii atiii!
 
yaani mume anijie kasoma sijui kaangalia movie anataka nimpe t*G* nimpe eti mwanamke mpumbavu atavunja nyumba yake! thubutu.................... kwanza kama ananiheshimu hatathubutu hata kunitamkia
 


Nyumbakubwa nimeongelea universal zaidi
kuna ndoa hasa za Wazungu yapo saana
na waswahili wanao olewa na wazungu wanayakuta ingawa hawasemi

back to kwako
uko tayari kujifunza stripping na lap dance mumeo akikuomba?
 

kwa cost ya nani? pole sana.
bra zote hizi! kisa na mkasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…