Mke na Mume(WANANDOA)

Man sometimes it is OK to call a spade a big spoon ...................hhah
 
"Matata ya muke na Mume usiingilie pilipilii usiokula ina kuwashia nini" Simba Mapangala
 
Maongezi na "nyumba ndogo" yako kwenye "buffer"! - yanaongelea bia, nyama choma, gari zuri, shopping, and all sort of temporary "shit*" - overnight stories BASI!!!!!!! Maongezi kati ya mume na mke yapo kwenye "ROM" - ni maongezi ambayo yanaweka sawa mustakabali wa maisha in the next 20 or 30 or even 50 years to come - it is not somethng than you can "ENJOY"!
 
Hawa nanaonekana ni mtu na mkewe, baada ya safari na maongezi kuwa sio mazuri kila mtu anampa mwenzake mwelekeo.


Hapa jamaa hana habari kabisa na mkewe, anatamani safari imalizike apaki gari apumzike

hapa anaonekana huyu kama kimada wa nje, kicheko na maongezi mengi.

Huyu jamaa inaonyesha yuko spidi mbaya afike haraka maana kakerwa kishenzi na mkewe
 

yes we can....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…