Mke na mchepuko wawa marafiki bila kujua

Mke na mchepuko wawa marafiki bila kujua

Behind the camera

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
315
Reaction score
757
Kuna kibomu nakiona kitaripuka hapa siku za karibuni.

Kitu kinachonitia wasi wasi nikwamba kabla sijaoa nilikuwa na mwanamke flani hivi (japo amenizidi umri kidogo)

Lakini baada ya kuoa nikawa bado namega siku moja moja. Sasa tangu mwaka huu umeanza naona mama watoto amekua karibu na Yule mdada ambaye ni mchepuko wangu. Maana ni majirani

Wamekuqa marafiki kiasi kwamba sasa mke wangu huwa ana mmisi Dada yake na kumtembelea kwake siku moja moja.

Mchepuko yeye anajua ukweli ulivo lakini mke hajui.

Sasa hapa ni mguu pande mguu Sawa... Huyu mke akija akijua MOTO UTAWAKA.

Njia ipi nyepesi ya kuliepuka hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina shida hapo endelea na maisha wala usihofu, ikitokea utapata njia tu ya kusolve!
 
MKUU HUYO MCHEPUKO...nipe namba zake ,,,,ili nikusaidie KUACHANA NAE. Atakuharibia ndoa YAKO
Kuna kibomu nakiona kitaripuka hapa siku za karibuni.

Kitu kinachonitia wasi wasi nikwamba kabla sijaoa nilikuwa na mwanamke flani hivi (japo amenizidi umri kidogo)

Lakini baada ya kuoa nikawa bado namega siku moja moja. Sasa tangu mwaka huu umeanza naona mama watoto amekua karibu na Yule mdada ambaye ni mchepuko wangu. Maana ni majirani

Wamekuqa marafiki kiasi kwamba sasa mke wangu huwa ana mmisi Dada yake na kumtembelea kwake siku moja moja.

Mchepuko yeye anajua ukweli ulivo lakini mke hajui.

Sasa hapa ni mguu pande mguu Sawa... Huyu mke akija akijua MOTO UTAWAKA.

Njia ipi nyepesi ya kuliepuka hili?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake watu wabaya sana naadui wamwanamke nimwanamke mwenyewe.

Nakumbuka mwanamke wangu alibamba mawasiliano ya mchepuko wangu wakachambana sana kwenye simu ila badae mchepuko ukawa mpole nakuomba samahan nakusema kuwa niliudanganya kuwa mimi nipo single...... Kwahiyo lawama zote zikahamia kwangu..... Wakawa marafiki mchepuko ukanipiga chini. Chaajabu baada yamasiku kupita nilikutana na mchepuko nikaupoza machungu nauchi ukanipa na mpaka leo nikihitaji napata ila nimarafiki namwanamke wangu mpaka kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kibomu nakiona kitaripuka hapa siku za karibuni.

Kitu kinachonitia wasi wasi nikwamba kabla sijaoa nilikuwa na mwanamke flani hivi (japo amenizidi umri kidogo)

Lakini baada ya kuoa nikawa bado namega siku moja moja. Sasa tangu mwaka huu umeanza naona mama watoto amekua karibu na Yule mdada ambaye ni mchepuko wangu. Maana ni majirani

Wamekuqa marafiki kiasi kwamba sasa mke wangu huwa ana mmisi Dada yake na kumtembelea kwake siku moja moja.

Mchepuko yeye anajua ukweli ulivo lakini mke hajui.

Sasa hapa ni mguu pande mguu Sawa... Huyu mke akija akijua MOTO UTAWAKA.

Njia ipi nyepesi ya kuliepuka hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kuna wakati ilisha wahi nitokea. Nilikua mkoani Tabora wakati flani, sasa nikaanzisha uhusiano na Mdada msusi wa Saloon moja pale mjini.Baada ya Muda kidogo nilihamisha majeshi kwa manzi mwingine niliekua nae jirani mtaani kwangu. Huyu msusi alifuatilia akwa anajua kila kitu kisha akaanzisha urafiki. malkiapya hakuwahi kufahamu mchezo kabisa so usiwe na hofu we tulia na kula kwa interval.
 
mke wangu na mchepuko walikuwa marafiki sana lakini siku ya siku ilifika tu,mchepuko ulikuja nikauchapia ndani kisha ukaomba kioo na chanuo, kumbe nikasahau kuvirudisha nilipovichukua.mke alipokuja akawa na machale akauliza hivi fulani alikuja hapa nyumbani nikasema ndio na hiki kioo na chanuo nani alikuwa navyo? niliishiwa pumzi sio siri.ilibidi nikubali ili yaishe na nikamsihi asimuulize maana atanidhalilisha,akakubali ila tangu siku hiyo urafiki wao uliisha na hata siku moja alikuta missed call yake ktk simu yangu hakuongea kutwa nzima.sijui nitafanyaje huu msala uishe maana hadi leo najipigia lila nikihitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbadilishie line mkeo kisha mhame hapo tafuta mkoa ukajifiche.
Simple tu haha
 
Utakuwa salama mpaka mchepuko wako utakapoamua vinginevyo.
 
Back
Top Bottom