tryphone005
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 453
- 507
Mkuu vigezo ninaona nimetoa vya kuanzia, asiwe mpenda makuu, awe na fani, .....Naona maelezeo yake hayajitoshelez,vigezo hakuna,
Poa kila la Kheri, ila ningepend kujua dini yako,Mkuu vigezo ninaona nimetoa vya kuanzia, asiwe mpenda makuu, awe na fani, .....
Vingine tuwasiliane pm, hata mm nimweleze anifahamu,
Mkristo,P
Poa kila la Kheri, ila ningepend kujua dini yako,
umri vepe ,miss natafuta njoo kuna fursa hukuMkristo,
Umri si huo hapo mkuu,umri vepe ,miss natafuta njoo kuna fursa huku
Niende nisiendeSubili
changamkia fursa ila muulize ataweza kukugaramia mtaji upo ATM inasoma anajua kutombanaNiende nisiende
Wacha kusitasita, uwe na imani,Niende nisiende
Uende tena wap tulia na mm kipenzNiende nisiende
Kuna tatizo hapoNalipanda hili jukwaa tena kwa heshima zote na taadhima, ni wengi wameleta maombi yao humu ya kutafuta mwenzi wa maisha na wamefanikiwa,
Na mm sio ajabu nikirudia ombi langu humu, natafuta mke mwema.
Asiwe mpenda makuu, awe na elimu walau awe na fani yake maalum, awe mkweli, awe mkazi wa dar ama pwani, umri 23-28,
Kuhusu mm please jisikie huru kuja pm tuwasiliane kwa undani zaidi,
Welcome!
Wasio wema hawajisemi mkuu, ukisikia paa, ujue imekukosa!Mke mwema anatoka kwa bwana sio jamiiforum..... tuliopo huku sio wema