Mke mwema ni yupi?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Wajameni tujadili hili kwa maana inaonekana ndoa kwa sasa ni mjukuu au zilipendwa hebu tushauriane shida nini ??
Mbona mmekata tamaa haswa wanaume??
Tatizo nini??
 
Tunajadili lipi kati ya mke mwema ni yupi au me kukata tamaa
 
Wajameni tujadili hili kwa maana inaonekana ndoa kwa sasa ni mjukuu au zilipendwa hebu tushauriane shida nini ??
Mbona mmekata tamaa haswa wanaume??
Tatizo nini??
Hakuna mapenzi siku hizi ndiyo maana watu wamekata tamaa
 
Ndoa haziwezi kuwa zilipendwa hata siku moja ndugu yangu.
Ke mmoja asipoolewa au me mmoja asipooa mwingine ataoa.

Mke mwema ni yule anayejitambua, mwenye akili timamu, heshima ,uvumilivu, upendo wa dhati na anayejua majukumu yake kama mama.

Ngoja mwakani niingie Ndoani nione na nipambane na yaliyomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…