Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,182
Wakuu,
Ni jana tu nilikuwa nachat na mke wangu mtarajiwa ambaye ni mwema na ni mtiifu sana, hana tabia ya kunikwaza ovyoovyo, na ikitokea ananiomba msamaha sana. Tulikuwa tunajadili kuhusu mikakati ya mimi kulipa mahari.
Sasa nashangaa baada ya hiyo (conversation) hajanijibu tena wala hapokei simu zangu. Tatizo laweza kuwa nini wakuu?