Thubutuuuuu akaaaaaHapana kuwa na amani kabisa. Mie naamini katika moyo mmoja mwanamke mmoja. Karibu sna.
mmh hapana mie nataka dogo dogo nimlee anipe mavituFursa hiyo dada itumie vema
Thubutuuuuu akaaaaa [emoji23
Kuna watu ninaowajua walifahamiana kupitia ukurasa huu huu kisha wakafunga pingu za maisha na mpaka sasa hivi wana watoto watatu. Maisha yao yapo safi tu. Mke mwema anapatikana popote pale. Kuna watu wamewapata wake zao katika nyumba za Ibada lakini hawakuweza kudumu katika ndoa zao hata mwaka mmoja. Don't let the world run you it's you who needs to run the world. Good day.Kweli nimeamini mke mwema anapatikana JF
Mkuu nakushauri nenda kanisani au masikitini..Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Mimi ni msomi ngazi ya Master's Degree. Mie ni mkazi wa Dar na ni Mtumishi wa Umma. Tangazo hili sio jipya nimeamua kulirudia tena kwa sababu sijampata ninayempenda. Ninahitaji mwanamke mwembamba mrefu akiwa mweupe au mweusi yote sawa. Umri kuanzia miaka 25-30 . Sibagui dini wala kabila. Kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0692490341. Meseji zitajibiwa. Karibuni sana.
Basi umenipata mamammh hapana mie nataka dogo dogo nimlee anipe mavitu
Mara ya kwanza hakuna hata mmoja aliyejitokeza? Mbona kama kanuksi...
Ulichokosea ni kusema una Masters afu wewe ni mtumishi wa uma. Kijeiefujeiefu, Masters na utumishi wa uma sio big deal... Ungesema una miliki mamilioni ya mahela na dushe kubwa kama la jogoo, ungekutana na foleni moja balaa la wachuchu...
Dunia imebadilika jombaa...
Niliwahi leta tangazo kama lako humu, aisee jf kuna mengi sana, ila ni zamani sana sasa hivi sina huu....tenaKuna watu ninaowajua walifahamiana kupitia ukurasa huu huu kisha wakafunga pingu za maisha na mpaka sasa hivi wana watoto watatu. Maisha yao yapo safi tu. Mke mwema anapatikana popote pale. Kuna watu wamewapata wake zao katika nyumba za Ibada lakini hawakuweza kudumu katika ndoa zao hata mwaka mmoja. Don't let the world run you it's you who needs to run the world. Good day.
Haya subiri anakujaKuna watu ninaowajua walifahamiana kupitia ukurasa huu huu kisha wakafunga pingu za maisha na mpaka sasa hivi wana watoto watatu. Maisha yao yapo safi tu. Mke mwema anapatikana popote pale. Kuna watu wamewapata wake zao katika nyumba za Ibada lakini hawakuweza kudumu katika ndoa zao hata mwaka mmoja. Don't let the world run you it's you who needs to run the world. Good day.
pole dear, utapata asietaka pichaHaya mambo ya kusema hujapata unaemtaka.
Hivi wanawake wamegeuzwa km nguo za kariakoo sio?
Yaani umefaidi hiko pm mapichapicha ya wadada wa watu leo hii wanaona post ingine eti sijaridhika!
By the way this tym utaokota nazi mbovu zaidi.
Aaa wewe nimeshamilikiwapole dear, utapata asietaka picha
Hao wapo wengi bodaboda na vyuoni hata ukiwataka 1000 kwa siku unapatammh hapana mie nataka dogo dogo nimlee anipe mavitu
Pole...utapata usijaliMimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Mimi ni msomi ngazi ya Master's Degree. Mie ni mkazi wa Dar na ni Mtumishi wa Umma. Tangazo hili sio jipya nimeamua kulirudia tena kwa sababu sijampata ninayempenda.
Ninahitaji mwanamke mwembamba mrefu akiwa mweupe au mweusi yote sawa. Umri kuanzia miaka 25-30 . Sibagui dini wala kabila. Kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0692490341.
Meseji zitajibiwa. Karibuni sana.
HakikaAisee pole sana, mkuu kupata mwanamke ni kazi mno, baadae nimekuja kugundua huwezi jua utaoa mwanamke yupi pia nimegundua unakaa unasitukia umejipatia mke mwema na mzuri aisee..