YAHERI MUNGU
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 318
- 215
Mchukue shunie mana ye kila siku analalamika kukosa mume sahihi mi alinikataaa
huyo hapo juu😛
Ushindweeeee mm nina mume lini nilikuja kuweka bandiko nataka mumeMchukue shunie mana ye kila siku analalamika kukosa mume sahihi mi alinikataaa
Mm nina mumeAha! Kumbe ndiyo huyu! Poa, namngoja tu hapa.
Mnikomeee nina mume mimihuyo hapo juu😛
Hongera sana.Mm nina mume
Shukrani mkuuHongera sana.
Tulia BasiMnikomeee nina mume mimi