Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,840
Yeye gwajima ni nani? Kwann asitibiwe kama mwanangu.Haupo sahihi kwa 100% ila unaandika kwa confidence mno.
Mfano Mtoto wa Dr Gwajima akijifungua mtoto kisha mtoto akaumwa, akampeleka hospitali huyu mtoto anafaa kuingizwa kundi la msamaha?