Mke mjamzito kuwa mwenye fujo, mbabe,lugha kali tofauti na zamani

FESTO MANDE

New Member
Feb 24, 2015
4
1
Habari Wadau,

Kuna jamaa yangu amekuja kunitembelea nikamsuluhishe na mke wake analalamika kuwa mke wake ni mjamzito na amekuwa mwenye fujo lugha mbaya,na hata kumuona hadi atake yeye tofauti na zamani je ujauzito waweza pelekea hio hali?na ni kwa nini? tumsaidie jamani.

Karibuni kwa ushauri
 
Wakuu hio inaitwa Technical problem hvyo tuweke uzalendo mbele tumsaidie jamaa nashukurun Lakin nakaribisha maoni zaidi tumsaidie jamaa amekonda kwa stress
 
Nikawaida sana, mimi mwenyewe hujicheka nikikumbuka,nikiwa na mimba Nampenda mumewangu yani staki awe mbali na mimi,nataka ani hug au niwe nae akiwa anafanya kazi zake nyumbani,na staki hata chakula ale cha nje,sema anatapika uyo
mie nakua mzimaaaaaaaaaaaaa yeye mara anataka mchuzi wa chukuchuku,mara ugali wa muhogo,kwahiyo mwambie jamaa yako amchukulie ndio kawaida.........
 
Back
Top Bottom