[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikupe mfano. Hii rangi ni ya sebureni na hii ya nje,anabisha.fundi anapaka kishingo upande.Baadae watu wanakuja wanaanza kusema mbona rangi ya nje mmepaka ndani na ya ndani mmepaka nje.
Inabidi muingie gharama nyingine.
Ulishawahi kuishi au kushuhudia mwanamke mbishi anajifanya anajua kila kitu yaani yeye ndio profesa,nabii ingawa lowkey unajua yeye ni bongo lala?
Unaishia kufanya mambo kimya kimya smart maana haelimiki na ajitambui kuwa mbishi baadae anajiona alipiga boko?
Aisee Hayo yameshanikuta...Bado naendelea kufanya mambo kwa ubabe tu..Mana ukimwambia anajifanya mjuaji saaaaana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji847][emoji847][emoji847]hakuwa mbishi mwanzoni,kuna mambo yametokea apo katikati kupelekea io hali(mmezoeana)Ulishawahi kuishi au kushuhudia mwanamke mbishi anajifanya anajua kila kitu yaani yeye ndio profesa,nabii ingawa lowkey unajua yeye ni bongo lala?
Unaishia kufanya mambo kimya kimya smart maana haelimiki na ajitambui kuwa mbishi baadae anajiona alipiga boko?
Utatamani uache nyumba uondoke[emoji23][emoji23][emoji23] mbishi halafu mfupi haaa haaa sipati picha
Sent using Jamii Forums mobile app
HayaHajui kitu