Wewe chakufanya muache aendelee kujiona anajua endelea kumsifia na Kama inawezekana wewe unga mkono juhudi hapo ndipo utakuwa na amani ila ukimpinga tu utajuta Sana mkuu
na akianza kubisha na remote anachukua yeye,, then anasimama mbele ya friji usichukue beer......ila hao wanajua kufuck,,,,hatareee πππ, wafupiiiii
na akianza kubisha na remote anachukua yeye,, then anasimama mbele ya friji usichukue beer......ila hao wanajua kufuck,,,,hatareee πππ, wafupiiiii
halafu kila kitu wanajua hahahaahaaaaa....tuko wengi kumbe...hahahahahaaaa..yaani mpaka funguo anawahi usitoke....hahahahaaaa...wanawake raha sana...tuwapende tuu.....
Nikupe mfano. Hii rangi ni ya sebureni na hii ya nje,anabisha.fundi anapaka kishingo upande.Baadae watu wanakuja wanaanza kusema mbona rangi ya nje mmepaka ndani na ya ndani mmepaka nje.