Akitafuta hela ndo iweje?wanawake akili zao wanajua wenyewe zilipoWewe ni mwanaumwe au mvulana??
Yani amekujibu simple kweli kuonesha jinsi gani anakuchukulia.
Tafuta hela kijana.
Mkuu usijichoshe kama mmekutana town wote mlishaanza kwichikwichi kinachotakiwa heshima tu!ila usishindane na ulipotokea mkuu waulize wazee utapata majibu sahihiKuna kitu umefeli juu ya huyo mwanamke,kwa hilo jibu hakika alishakutathimini kitambo na akakuweka kwenye kundi lake ambalo sizani kama unayotena thamani ya kua mume
mkuu sio kila jambo unafikilia sijafanya ila omba mungu usikumbane na kilamsazi kama hiki!nilishafukuza na kupiga sana mwishowe inaishi ktk vyombo vya sheria unashindwa fanya yako.labda nikuambie inapofikia mgawane mali ujue umeingia ktk mtihani hapo kwa maisha haya!hakuna siku nilijuta nikaamua kua mpole tu nitumie njia za kidipromasia zaidi.Mi huwa nashndwa kuelewa,mwanaume anashndwaje kumfukuza mwanamke nyumban kwake
kugawana mali na mwanamke hilo nilshalikataaga n bora hzo Mali nihonge zote ili kushinda kesi,sasa hapo muishi tu kama kaka na dadamkuu sio kila jambo unafikilia sijafanya ila omba mungu usikumbane na kilamsazi kama hiki!nilishafukuza na kupiga sana mwishowe inaishi ktk vyombo vya sheria unashindwa fanya yako.labda nikuambie inapofikia mgawane mali ujue umeingia ktk mtihani hapo kwa maisha haya!hakuna siku nilijuta nikaamua kua mpole tu nitumie njia za kidipromasia zaidi.
Ukikubali kugawa mali tambua watoto ndio watakaopata tabu ni ujinga kugawana mali kwa uzembe wa watu wazembe mie ilifikia hatua nilisema kama huko mzigo ningemuandikisha mama yangu na wajukuu zake ndio warithi wangu!ila sasa hivi ni amani fullkugawana mali na mwanamke hilo nilshalikataaga n bora hzo Mali nihonge zote ili kushinda kesi,sasa hapo muishi tu kama kaka na dada
Kuoa familia duni sana nayo ni tatizo.Namanisha uduni wa mali na ubongoPole sana mkuu, hapo ukikaa vibaya unaweza hata muachia nyumba huyo mwanamke, ila kuwa makini sana, usipaniki unaweza shangaa hata huwa anatoaga tigo kwa huyo jamaa na ww hujawahi hata jaribu