Ushachelewa bado mzito kijana!!Kitu hicho Dadadadadadeki
Nimekua wa kwanza tena kureply
Mwaka huu mtanikoma
Tena umepitwa na mdadaKitu hicho Dadadadadadeki
Nimekua wa kwanza tena kureply
Mwaka huu mtanikoma
Mkuu me nimetulia ninety mpaka najiogopaKama kwenye maisha yako ya ndoa ulishawahi kutoka nje ya ndoa, basi kuwa mtulivu na samehe.
Ila kama huyo mwanamama hajaomba msamaha wala kisikitika, basi husisha ndugu yake wa karibu. Huyo hafai.