tiffanykinondoni
Member
- Jan 31, 2018
- 37
- 306
Hizi hasira zote ni kwavile unahisi kuna chuma chako kitang'olewa kimasihara?Jamaa anatafuta mke kama dhahabu. Huko Kigamboni haoni wanawake mpaka atafute huku? Mwambie kama hajui hawa wanaoandika huku
Huwezi jua maana cocochanel simwelewi siku hizi. Asije akawa kaungana na Sky Eclat wakanifanya Reginald Mengi ili kumkomoa Karucee kwa tiketi ya mapacha wangu Joanah na Saint AnneHizi hasira zote ni kwavile unahisi kuna chuma chako kitang'olewa kimasihara?
Wewe Jamaa muongo sanaaaMambo ya kuoa na kuolewa ni stress tu angalia mfano katika viongozi wetu.
1.Nyerere alikosana na Maria mpaka wakawa wanaishi vyumba tofauti kwa miaka mingi
2.Mwinyi akaamua aonheze Mke wa Pili kuondoa stress,
3.Mkapa ndio kabisa mahusiano yalikuwa kama chui na paka sijui tatizo alivhukua Mke wa Basil Mramba
4.Kikwete,Salma ni Mke wa Pill wa 1 sijui nini kilitokea,
5.Magufuli ndio walikuwa wamisha achana kabisa,Kuwa Rais ndio kuliwaunganisha tena.
6.Samia,ni miaka sasa hawako pamoja na yule mzee!
Bado wavumbuzi wote wakubwa hapa duniani na watu kwenye akili wote hawakuwahi kuoa au kuwa na familia.
Ndoa ni stress,kuwa kama Bilget.
yeye hawezi kujitafutia? ana ugonjwa gani?Wasalaam,
Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia(lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu.
Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani.
Sifa za mtafuta mke
1. Miaka 35
2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni
3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya Serikali
4. Elimu - Masters
5. Aliwahi kuishi na mwanamke na ana mtoto mmoja wa kike 6 years.
6. Sio mlevi, hanywi pombe kabisa.
Mwanamke anayemtaka
1. Mkristo
2. Awe anaishi Kigamboni
3. Umri 24 - 33
4. Akiwa na mtoto mmoja (Single parent) sio tatizo
5. Awe mfanyakazi au mfanyabiasha
6. Asiwe mlevi
Tafadhali njoo PM kwa walio serious tu.
Hivi Coco yupo?Huwezi jua maana cocochanel simwelewi siku hizi. Asije akawa kaungana na Sky Eclat wakanifanya Reginald Mengi ili kumkomoa Karucee kwa tiketi ya mapacha wangu Joanah na Saint Anne
Anakata tiketi mwendokasi. Sogea hapo kwa Msuguri hahahaHivi Coco yupo?
7.Domo zegeSifa za mtafuta mke
1. Miaka 35
2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni
3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya Serikali
4. Elimu - Masters
5. Aliwahi kuishi na mwanamke na ana mtoto mmoja wa kike 6 years.
6. Sio mlevi, hanywi pombe kabisa.
π€£π€£Staff mwenzako ni wewe, acha ukumbaf basi..
Nilishahama hukoAnakata tiketi mwendokasi. Sogea hapo kwa Msuguri hahaha
Mzee wangu kama ni hivi tema povu hadi uzi ufutweHuwezi jua maana cocochanel simwelewi siku hizi. Asije akawa kaungana na Sky Eclat wakanifanya Reginald Mengi ili kumkomoa Karucee kwa tiketi ya mapacha wangu Joanah na Saint Anne
Huwezi jua maana cocochanel simwelewi siku hizi. Asije akawa kaungana na Sky Eclat wakanifanya Reginald Mengi ili kumkomoa Karucee kwa tiketi ya mapacha wangu Joanah na Saint Anne
Babu, punguza hasira mkuu. Usisahau kumsalimia Raynavero.Jamaa anatafuta mke kama dhahabu. Huko Kigamboni haoni wanawake mpaka atafute huku? Mwambie kama hajui hawa wanaoandika huku wengine wako hukohuko Kigamboni..
Domo zege? Basi nshaelewa.. mkuu acha uzembe na kuzusha kutumia ujanja wa kizamani eti "staff mwenzako"
Staff mwenzako ni wewe, acha ukumbaf basi..
Yani staff mwenzako atafute mke, ila aliye interested aingie kwenye inbox yako...?
Mbona hasira sana?Jamaa anatafuta mke kama dhahabu. Huko Kigamboni haoni wanawake mpaka atafute huku? Mwambie kama hajui hawa wanaoandika huku wengine wako hukohuko Kigamboni..
Domo zege? Basi nshaelewa.. mkuu acha uzembe na kuzusha kutumia ujanja wa kizamani eti "staff mwenzako"
Staff mwenzako ni wewe, acha ukumbaf basi..
Yani staff mwenzako atafute mke, ila aliye interested aingie kwenye inbox yako...?