Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 704
- 1,381
Flashback storyMbna kama story inaendelea halafu ndo imeisha. Au ndo umeileta kwa muundo wa ule wa mwisho mwanzo mwanzo mwisho mwanzo.
Ok asante kwa taarifa mkuu.
Nitaileta yoteMbna kama story inaendelea halafu ndo imeisha. Au ndo umeileta kwa muundo wa ule wa mwisho mwanzo mwanzo mwisho mwanzo.
Ok asante kwa taarifa mkuu.
Nitaileta yote baada ya kikaoUmeme umekatika kwa mtoa mada
Angemvuruga huo USO ahakikishe Hana meno alafu ampe talaka shwaini kabisaNitaileta yote baada ya kikao
Wanaume Tujitahidi kutafuta pesa zisikate na tuepuke kuoa Wanawake wazuri Sana
Huyu mwamba anamwaga machozi ambayo sikutegemea Kama anaweza kulia kiasi hiki
Mwanamke Hana muda anadai apewe talaka
Mwamba ndo anatetea ndoa ibaki kisa Wana watoto
Wakati huo nyimbo zilikuwa na ujumbe unaoeleweka...pamoja na burudani, pia zilikuwa ni elimu tosha.Umenikumbusha nyimbo ya Mkasa wa bosi
Ferooz ft Juma nature,Chid Benz
Mwanamke akiomba talaka mpe haraka iwezekanavyo, halafu wewe angalia Mambo mengine!!Nitaileta yote baada ya kikao