KyemanaMugaza
JF-Expert Member
- Jan 7, 2025
- 339
- 557
Hapana mkuu, mi ni team kataa ndoaHuyo ndugu yako ni wewe mwenyewe
Atakuwa mzaramo, ongea nae vizuri kuwa tabia hiyo si nzuri else muite mumemewe ongea nae kiumekuna ndugu yangu analalamika hana maelewano mazuri na majirani zake kisa mkewe yaani mkewe amekuwa mtu wa vituko mara kamchamba jirani huyu mara kamuona huyu katema mate mara kesi ya kutupa taka hovyo ,imefikia akipika mayai anatupa maganda mlangoni kw jirani kifupi ni mtu wa shari
Anaomba ushauri afanye nini kuhusu mwanamke huyu akimwacha itakuwa suluhisho la tatizo au ahame mtaa huo au ampeleke kwa wazazi wake au mpige tu yaani😥
Ushauri wenu wadau
Naunga mkono hojaAtakuwa mzaramo, ongea nae vizuri kuwa tabia hiyo si nzuri else muite mumemewe ongea nae kiume
Ikizid kuna viongz wa nyumba kumi