jibu kwanza swali, ulikuwa wapi?
Lady we acha tu, nlikuwepo ila nlijaribu kuwa karibu sana na elimu na kuamua nioe nikisha maliza hatimaye nimesoma hata zaidi ya diploma ila sijafanya mitihani 2 nimalizie kabisa nikaona nimechoka sasa nioe tu sina jinsi.
ivi wewe muda wote ulikua wapi?yaani umefanyanya uzinz miaka yote bila aibu wanaokujua wamekuchoka unakuja kutafuta huku!hacha izo we mbabu
...Mke mtarajiwa awe hajazaa...
Wengine wamezaa na wana sifa unazozitaka....! Mbona unawatenga wee Kaka?
anasema alikua anatafuta elimu kwanza ila ni diploma tuu khaaaa!
Makubwa! 37 vs 40? Kuna walakini!!
yeye anamtaka
wacha aseme, au unakidhi vigezo....?
hahahhahahah eti ni imani tuapime mara tatu,kisha utakua unamfungia ndani asiupate?.
Nadhani umekua unasita kuoa juu ya kuogopa sana ukimwi(ukimwiphobia).
Ukimwi haupo ni imani tu.