:nono:
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu......Hili si jambo la wewe kutaka na lazima liwe - Ni swala la nyie wawili kujadiliana/kupeana hoja hadi mwafaka upatikane. Usiwe dikteta wakati anayekula kisu ni mwenzio.
Kwa komenti kama hizi ni Umri wetu wengine unatusumbua!!!! Wengine ni hisia hata kuweka mtu ndani baaaaaado..mpe mimba,miaka miwili mingi sana,mchape mimba huyo kwani alikuja kula ugali hapo,kwao mbona upo . Wanawake bana akiwa hana mtoto tabu,akiwa anauwezo wa kuzaa taabu,mbona wanawake hatuwaelewi aaagh..
hili ndio swali unapaswa kuuliza kabla hujalalama ukishapata jibu ndio uanze kumlaumu ,je ulihudhuria cliniki na mkeo wakati wa mimba hiyo na tahadjhari alizopewa na docta wakati amepatiwa operation ulizipewa.nafikiri wadau watakupa darsa zuriAu mwanamke anapojifungua kwa oparesheni inatakiwa akae miaka mingapi ndio apate ujauzito mwingine!
!
Kwa komenti kama hizi ni Umri wetu wengine unatusumbua!!!! Wengine ni hisia hata kuweka mtu ndani baaaaaado
Mimi namshangaa huyu mke wangu! nimezaa naye mtoto mmoja ila alijifungua kwa njia ya upasuaji miaka miwili iliyopita. kwa sasa mtoto keshakuwa mkubwa maana ana umri wa miaka miwili na mimi nilitaka nimpe mimba nyingine ili azae halafu ndio tupange mipango mingine ya maisha.
Cha kushangaza sasa ni kuwa kila ikifika muda wa yeye kupata mimba hukwepa sana ikiwemo kutaka tutumie zana ili asipate mimba.
Nishamwambia tupate mtoto mwingine ili tupumzike kabisa ili mwili wake upate nguvu aruie hali yake ya usichana lakini hataki kunielewa ati anataka tuzae mtoto mwingne baada ya miaka mitano! huku si kutaka kunifanya nikatafute nyumba ndogo ya kuzaa nayo ili niweze kujiongezea familia?
Au mwanamke anapojifungua kwa oparesheni inatakiwa akae miaka mingapi ndio apate ujauzito mwingine!
Kwa kweli nashindwa kumuelewa huyu mwanamke!