Mke graduate

Kwenye kutumika hapo duh nakubaliana na ww ila mengine huenda ni mtu na mtu tuu
 
Hivi unahitaji heshima wakati huna unachonizidi... wasomi watakusumbua kma mwanaume ujielewi alafu maisha ni mipango kuwa na mipango mwonyeshe mkeo kuwa unaweza si umekaa lege lege hata mimi nakuacha tena kwa sherehe kubwa
 
hope1985

dogo unaogopa degree? ushauri nenda shule ili usionekane ugoro. kama una shule hiyo ndude sio rizki.
 
Last edited by a moderator:
Lolest
 


Nakupendaga... basi tu!
 
Mwanamke ni mwanamke tu, awe ana Elimu ya chuo, sekondari, msingi au chekechea atabaki kuwa chini ya uongozi wa mwanaume ndani ya nyumba. Kinachotakiwa uwe mwanaume wa ukweli tu.

Unaropoka mkuu....ila kiuhalisia wanawake walosoma hasa elimu ya dgree weng wao hawana malengo ya kuish na mume hasa wakiwa vyuon...anakwambia m nkipata kazi yangu nna mwanangu naishi mwanaume wa nn....

so ni ngumu kwa mwanamke mwene mawazo hayo kuja kuwa chini yako...migogoro haitaisha umo ndan
 

Umeongea kitu binti...umesema kapoint
 
Kwaiyo watakaje labda?

Anataka tuchukue std 7, mambo gani ya kuanza kufundishana english kitandani... huyovmwanamke kwenye corporate meetings utaenda nae kwel!?? Ka sio kutafuta mchepuko wa kuutambulisha
 
"kula denda na mfanyakaz mwenzie "

Hahahaha yaani nimeangalia Midomo ya Kakazangu hapa Ofisini , nikapiga picha nalana nao Madenda hehehehe No way sweet siyo rahisi hivyo bwana wewe Demu wako alikuwa Mapepe tu with or without Graduate

yoyote umuangaliae na kumtamani, umeshazini nae!!! katubu dada, mambo ya kutuvua nguo ofisini ni dhambi
 
Hahahahaa umetisha...
hehehe..ila watu wanashindwa kuelewa..mote mkiwa na kipato au kazi ya juu hamuwezi kuenjoy life.. mfano wote ni mameneja, kila siku safarini....mmoja akienda kaskazini mwingine kusini....uzoefu wangu wote huishia kufall kwa wenye elimu na kipato cha chini...mke atagongwa hata na dreva..mme atagonga hosekeeper wa hotel au barmaid. Ni kitu ambacho kiko wazi sana sijui kuna ugumu gani watu kuelewa. Mafahali wawili hawaishi zizi moja...mimi kama ikitokea mke akinizidi kipato wala sitakua na gubu...kazi yangu mimi ni kumpa raha tu...saa nyingine unakuta ni inferiority complex tu ya wanaume.
 

Yah kinachowasumbua watu wengi ni inferiority complex tu hakuna kingine
 
Mie napata shida ya lugha hili neno USHAURI maana yake ni nini? Kilichoandikwa kwa huku kwetu ni UPOTOSHAJI na si ushauri.
Ama kweli kama gereza ni chuo cha mafunzo basi mpeleke mwanao akasome.
 

Hahahahaha uwiii hapana chezea mutu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…