Ni kweli kabisaaaa! Ili mtu akuheshimu lazima umzidi kitu! Chochote kile, either uzuri wa sura, pesa, elimu, anything ili ukitumie kama fimbo kumchapia na kumrudisha kwenye mstari. Mfano umeoa graduate oa Uglybet hata akikuzidi hela utatumia muonekano kumrudishakwenye mstari japo hela kakuzidi.
Alafu watu wanakurupukaga tu kupima utulivu wa mtu. Mfano watu wanasema Wema Sepetu mala.ya afu wao ndo wametulia! Psheeeeeeeeeew! Wema anatongozwa na wanaume mamia, wazuri, wenye hela zao, maisha ya maana, exposure, daily, akilala na kumi tu mala.ya! Wakati wao wanatongozwa na wanaume 6 kati ya hao 6 kalala na 3 tayari! Tobaaaaaaa!
Na hao sita wnyewe wakuokoteza hawana hata vigezo. Tukiumia ratio analysis nani ma.laya? Je wao wangekuwa wema kwa ratio yao hio ya 50% si ingekuwa balaaa!