Mke au mama yang mzazi. . . . . ? ?

MagicM

Member
Sep 19, 2011
80
7
Leo ni jumamoc ni ck ambyo mama kulwa hataisahau maishan baada ya kumkuta mme wake yuko kitandan na mdg wake wa dam(yan wifi yake) wakila MARAHA bada ya kuona hvyo mama kulwa aliishia kusema"Mme wangu lakini. . . . " na kzimia. Baada ya kuzinduka na khoj kulikon wifi yake akamjijb. . .MBONA KAWAIDA YE2.

Je ungekuwa ww ungefanyaje. . . . . . . ? ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom