Mke asiyesoma!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
kuowa mwanamke asiyekwenda shule raha sana
ukitaka kwenda kwa mchepuko wako maongezi yanakuwa hivi
mke- safari ya wapi mume wamgu
mume- naenda mwanza kubadilisha profile picture mke wangu
mke- safari njema mume wangu mungu akulinde na mabaya njiani
mme- asante sana mke wangu baki salama
 
Mara nyingi Mungu huwajaza HEKIMA na Huwaepusha na MABALAA tunayo toka nayo kwa MICHEPUKO wetu..
 
Hivi ni kweli kuna watu hawafahamu maana ya profile picture katika zama hizi za utandawazi?
 
Back
Top Bottom