Mke asiyefaa na anaefaa pitia hapa

Matatizo katika mapenzi yanaanzia pale tunaporuhusu hisia zetu zituongoze katika kufanya maamuzi baada ya uhalisia wenyewe wa jambo husika.......kwa mfano kama umemfumania mpenzi wako akikusaliti.....ni dhahiri ukitumia hisia za kimapenzi kumhukumu utafanya maamuzi ambayo si sahihi kwani bado unampenda na lakini ukiutumia uhalisia tukio la kufumfumania utagundua ni jambo linalo hatarisha maisha yako kwani anaweza akakuletea maladhi yasiyo tibika kwa hiyo unatakiwa kukaza moyo na kuachana naye.......
 
Halafu hii hii imejirudia
ilishawekwa siku za nyuma
''Hebu tupe mshindo nyuma''
 
Nawish na wangu angekuwa nayo kama ya huyo mwerevu
 
Kuna mke wa jamaa yangu umepatia 99.99% ya sifa ya mwanamke mpubavu. Eti huyu mama baada ya mkwe wake kutoka mikoani kuja dara hataki mama wa mumewe akae nyumbani kwao, ana thubutu kumshauri mume eti ampangishie nyumba mamake. Hizo sifa ulizotaja ni kama unamfahamu huyu mama
 

Mmmh! Usmwangalie Mwanamke Angalia Pande Zote, Ma Mkwe Wengne Gubu, Her Kuepusha Shar, Uchunguz Ufanyke
 

ni kweli tho sijaona jipya ila nimecheka sana iyo N.B eti toto miguu mifupi?? ahaaaa
 
yote hayo ni kweli ila hujaweka na wao waume watufanyie nini au ni wao tu wakufanyiwa//?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…