Mke asiyefaa na anaefaa pitia hapa

Mke asiyefaa na anaefaa pitia hapa

Matatizo katika mapenzi yanaanzia pale tunaporuhusu hisia zetu zituongoze katika kufanya maamuzi baada ya uhalisia wenyewe wa jambo husika.......kwa mfano kama umemfumania mpenzi wako akikusaliti.....ni dhahiri ukitumia hisia za kimapenzi kumhukumu utafanya maamuzi ambayo si sahihi kwani bado unampenda na lakini ukiutumia uhalisia tukio la kufumfumania utagundua ni jambo linalo hatarisha maisha yako kwani anaweza akakuletea maladhi yasiyo tibika kwa hiyo unatakiwa kukaza moyo na kuachana naye.......
 
MWANAMKE MPUMBAVU
1.Anamkomoa mmewe.

2.Analala mapema kabla ya mmewe.

3.Anachelewa kuamka kabla mmewe.

4.Mbishi,anahisi kuonewa mda wote.

5.Anadhani kumnyima mmewe unyumba ni kumkomoa.

6.Mmekaa sebuleni anahadithia tu.
Mafanikio za familia za watu.
Wakati ye ndo kigezo cha kero.

7.Hataki kuzungumzia mshara wake.

8.We unajenga family ye anajenga
Kwao.

9.Mkikaa tu anaanza umbea kuponda
Ndugu na majirani.

10.Haridhiki mwanaume unatoa jasho ilaye anakudiscourage wakati
yeye akishuka kwenye kochi anakaa.
Kwenye jamvi na baadaye anelekea saloon
kupiga umbea kuhusu mama joyce
kafumaniwa gesti.

11.Nyumbani housegirl hapunziki.

12.Anajali ajira yake hataki kufuatiliwa
mambo yake.

13.Anakera sana,siwezi kuacha kazi
yangu hata kama anaumwa,kajikata kucha
halafu anadai apelekwe Agha Khan au
India.

NOTE:
1.Akikutana na mwanaume kichwa
numu anamrudisha kwao
ameshazalishwa watoto anaenda kwa
mwingine anaongezewa watoto.

2.Anazinguliwa anapigwa toto lingine
mmoja mtaani,unakuta kazaa na kila
familia mtaani baadaye anaishi ghetto au
kwao.

MWANAMKE MWEREVU
1.Unaamka yeye kashaamka na kusema
"baby amka maji ya kuoga yapo
bafuni" mwanamke adimu sana.

2.Unajiandaa kwenda kazini khaa,nguo
zishapigwa pasi jamani hiyo kazi kafanya
saa ngapi?unajikuta unaenda kazini upo
kwenye daladala kimoyo moyo
unamwambia "I love u honey"

3.Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi
acha tu hujui hata anazifua saa ngapi
maana huwa hujui anazifua saa ngapi?

4.Umejipunzisha kwenye kochi au
Au kitandani mara kakukalia
Mgongoni anakufanyia masaji
Mgongoni,khaa alijuaje unataka
Ufanyiwe masaj unaishia kusema
Thanks baby.

5.Kila anachotaka kufanya kujiendeleza
anakuambia na unaweza kumpa mtaji
mana ni mkweli ni baraka kwenye familia.

6.Anapenda ndugu zako siyo mama mkwe
akija anasimamisha pua juu kamakitimoto.

7.Anakupa moyo kwenye wakati
mgumu,mf,umefukuzwa kazi anakushauri
baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa
kama vipi tusimamie ule mradi wangu
mpaka uajiriwe)khaa jamani yupo kama
huyu Fb,upareni,uchagani,usukumani je.

8.Ukirudi nyumbani unakuta anamfundisha
mtoto wako maadili ya kimungu(wow heri
tuzae tu wa pili.

9.Anakufariji.(Baby usiogope ni mapito ya
dunia,jikaze mme wangu,nipo upande
wako),hehhehe hata ukinuna
unabembelezwa.

10.Mwenye kushukuru na suprises,hawezi
kukusahau,(baby hii zawadi kwa ajili
yako,umenisaidia sana mme wangu,you
changed my life,""baby leo birthday
yako,khaa unaona keki mezani"),kuna mke
kama huyo?

11.Ana uhakika mimba yako ("baby nina
suprise,kumbe mwezi uliopita ulinipa
toto,nina mimba yako(siyo ooh khhaaa
tumefanya mapenzi juzi tu umenipa
dragon mwingine)

NB.Mwanamke kama huyu ni blessing,kila
jioni unaona toto zakozimekaa kwenye kochi yaani vitoto vizuri
miguu mifupi hata vikikaa kwenye kochi
miguu hazifiki kwenye sakafu vinaangalia
cartoons.
Hehehe mtazamo tu najua mmewaza
sana.
Halafu hii hii imejirudia
ilishawekwa siku za nyuma
''Hebu tupe mshindo nyuma''
 
Kuna mke wa jamaa yangu umepatia 99.99% ya sifa ya mwanamke mpubavu. Eti huyu mama baada ya mkwe wake kutoka mikoani kuja dara hataki mama wa mumewe akae nyumbani kwao, ana thubutu kumshauri mume eti ampangishie nyumba mamake. Hizo sifa ulizotaja ni kama unamfahamu huyu mama
 
Kuna mke wa jamaa yangu umepatia 99.99% ya sifa ya mwanamke mpubavu. Eti huyu mama baada ya mkwe wake kutoka mikoani kuja dara hataki mama wa mumewe akae nyumbani kwao, ana thubutu kumshauri mume eti ampangishie nyumba mamake. Hizo sifa ulizotaja ni kama unamfahamu huyu mama

Mmmh! Usmwangalie Mwanamke Angalia Pande Zote, Ma Mkwe Wengne Gubu, Her Kuepusha Shar, Uchunguz Ufanyke
 
MWANAMKE MPUMBAVU
1.Anamkomoa mmewe.

2.Analala mapema kabla ya mmewe.

3.Anachelewa kuamka kabla mmewe.

4.Mbishi,anahisi kuonewa mda wote.

5.Anadhani kumnyima mmewe unyumba ni kumkomoa.

6.Mmekaa sebuleni anahadithia tu.
Mafanikio za familia za watu.
Wakati ye ndo kigezo cha kero.

7.Hataki kuzungumzia mshara wake.

8.We unajenga family ye anajenga
Kwao.

9.Mkikaa tu anaanza umbea kuponda
Ndugu na majirani.

10.Haridhiki mwanaume unatoa jasho ilaye anakudiscourage wakati
yeye akishuka kwenye kochi anakaa.
Kwenye jamvi na baadaye anelekea saloon
kupiga umbea kuhusu mama joyce
kafumaniwa gesti.

11.Nyumbani housegirl hapunziki.

12.Anajali ajira yake hataki kufuatiliwa
mambo yake.

13.Anakera sana,siwezi kuacha kazi
yangu hata kama anaumwa,kajikata kucha
halafu anadai apelekwe Agha Khan au
India.

NOTE:
1.Akikutana na mwanaume kichwa
numu anamrudisha kwao
ameshazalishwa watoto anaenda kwa
mwingine anaongezewa watoto.

2.Anazinguliwa anapigwa toto lingine
mmoja mtaani,unakuta kazaa na kila
familia mtaani baadaye anaishi ghetto au
kwao.

MWANAMKE MWEREVU
1.Unaamka yeye kashaamka na kusema
"baby amka maji ya kuoga yapo
bafuni" mwanamke adimu sana.

2.Unajiandaa kwenda kazini khaa,nguo
zishapigwa pasi jamani hiyo kazi kafanya
saa ngapi?unajikuta unaenda kazini upo
kwenye daladala kimoyo moyo
unamwambia "I love u honey"

3.Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi
acha tu hujui hata anazifua saa ngapi
maana huwa hujui anazifua saa ngapi?

4.Umejipunzisha kwenye kochi au
Au kitandani mara kakukalia
Mgongoni anakufanyia masaji
Mgongoni,khaa alijuaje unataka
Ufanyiwe masaj unaishia kusema
Thanks baby.

5.Kila anachotaka kufanya kujiendeleza
anakuambia na unaweza kumpa mtaji
mana ni mkweli ni baraka kwenye familia.

6.Anapenda ndugu zako siyo mama mkwe
akija anasimamisha pua juu kamakitimoto.

7.Anakupa moyo kwenye wakati
mgumu,mf,umefukuzwa kazi anakushauri
baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa
kama vipi tusimamie ule mradi wangu
mpaka uajiriwe)khaa jamani yupo kama
huyu Fb,upareni,uchagani,usukumani je.

8.Ukirudi nyumbani unakuta anamfundisha
mtoto wako maadili ya kimungu(wow heri
tuzae tu wa pili.

9.Anakufariji.(Baby usiogope ni mapito ya
dunia,jikaze mme wangu,nipo upande
wako),hehhehe hata ukinuna
unabembelezwa.

10.Mwenye kushukuru na suprises,hawezi
kukusahau,(baby hii zawadi kwa ajili
yako,umenisaidia sana mme wangu,you
changed my life,""baby leo birthday
yako,khaa unaona keki mezani"),kuna mke
kama huyo?

11.Ana uhakika mimba yako ("baby nina
suprise,kumbe mwezi uliopita ulinipa
toto,nina mimba yako(siyo ooh khhaaa
tumefanya mapenzi juzi tu umenipa
dragon mwingine)

NB.Mwanamke kama huyu ni blessing,kila
jioni unaona toto zakozimekaa kwenye kochi yaani vitoto vizuri
miguu mifupi hata vikikaa kwenye kochi
miguu hazifiki kwenye sakafu vinaangalia
cartoons.
Hehehe mtazamo tu najua mmewaza
sana.

ni kweli tho sijaona jipya ila nimecheka sana iyo N.B eti toto miguu mifupi?? ahaaaa
 
yote hayo ni kweli ila hujaweka na wao waume watufanyie nini au ni wao tu wakufanyiwa//?
 
Back
Top Bottom