Mkuuu nmemaliza kusoma kunamahali nikaishia kucheka ..safi sana ,,hukutaka kujivunga nahuo ndo uanamme !!...elezea utakavyomaana weee ndo mchaguzi , nilichokukubali zaidi nipale ambapo hujaweka kigezo chamwanamke kua nakazi naumemuachia Mungu .nahuu ndo uanamme.
Wanakuja mkuuu kweli kuna baadhi humu wanakiu nandoa nawanaomba sana wapate ndoa !!.
Upate sawSawa nahitaji lako