cheeter
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 475
- 155
Hivi karibuni kumekua na wimbi la watekaji, nina rafiki yangu alipotelewa na mke akafanya juhudi zote za kumtafuta.
Siku ya kwanza alimpigia simu yake ikawa inaita tu bila mfanikio.
Siku ya pili ilimbidi aende kwa mama mkwe kutoa taarifa hiyo cha ajabu hawakua na taarifa yoyote ukweni.
Siku ya tatu alirudi tena ukweni ile anaongea na mama mkwe kwa mbali anamwona mke wake anarejea kwao.
Hapo hapo mama mkwe naye akamweleza ndiyo kama anavyoona anarejea hivyo. Ingekua ni wewe ungefanyaje?
Jamaa aliondoka kwa hasira kutafuta panga.