Mke anayejitambua anahitajika nami

Mke anayejitambua anahitajika nami

mr handsome

Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Mimi ni mtu wa umri wa kati ninayetafuta mchumba/mke anayejitambua kama unajitambua ni pm tufahamiane uwe mke wangu.
 
1. Wew unajitambua???
2. Unafanya kazi wapi???
3. Account yako hadi leo jion inasoma kiasi gani!??
4.una ndugu wangapi wanaokutegemea???
 
Umri wa kati ndio miaka mingapi?
Unajiita handsome tupia picha basi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom