Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
mh!ngoja wenyewe waje!
Jana jioni nimeipata hii: mke wa jirani ametonya rafiki yake wa karibu sana kuhusiana na siri ya kumtia kitanzini mumewe kuwa ni ndumba ambazo zimejaa kwenye kabati na ya kuwa kamwe hawezi kufurukuta.
Aliyenitonya ananisihi nimtonye jamaa yangu kuwa analishwa uchafu. tatizo kwangu ni kuwa nikifanza hivyo hiyo ndoa itasarambatika lakini pia sipendi aendelee kulishwa uchafu utakao ukeni kwa mke wake.
Yaani eti baadhi ya ndumba huwa mtuhumiwa huzifutika ukeni kwa siku tatu baada ya mumewe kumdu khalafu huzitoa na kumkaangia kuku wa kienyeji na biriani. Jamaa hula huku akisifia mapishi na chochote mkewe anachomwambia huiotikia tu kama ----- na kudai hakuna mwenye busara kama mke wake!
Sina uhakika kama haya ni kweli maana sijawahi kuwafuatilia kujua kulikoni.
Nishaurini hapa
Na ukizingatia kuwa jamaa huwa anakwenda chumvini, ndo kabisaaa. Cc Chiefmtz
Mkuu nilishasikia siku nyingi sana zaidi ya miaka 15 iliyopita .
eti ni kwamba wanawekaga nyama huko kunako maeneo nyeti na itakaa kwa muda Fulani kisha siku anapika nyama huitoa na kuichanganya na na nyingine kwenye mapishi hasa mboga ya mumewe. Na mumewe akiila tu anakuwa zuzu kwa mumewe. .................!
Kwahiyo amekwisha khabari yake? Sina cha kumsaidia hapo?
Kwishiney. Ombea hakuvinjali wakati kitu iko ndani.
::
Atumiae dawa ajue Kuna siku isiyo na jina ataumbuka.
Utashauri wangapi?
ushirikina ni wide spread culture Tanzania
hata wewe yawezekana ulishalishwa uchafu tele ila hujui
unajua hata mama ntilie na wenye restaurant wanawalisha wateja uchafu huo huo ili wadhibiti soko?
go figure now
mwanangu hii nilisikiaga kwa wajita na wakererwe kama mpo naomba mtujuzeni ata mimi huwa nasikia wanasema, kwa wahaya wanakitu moja inaitwa NKULATA na NSHUNTAMA nasikia ukitia tu mguu umeliwa ndugu zako watakuwa wanaona manyoa tu!!
Ninashukuru maana sitamtonya kwani sanasana nitaambulia makofi matupu!
Ha ha ha. Ucogope. Jaribu.
Kwa vyovyote huo uke utakuwa na ukubwa wa mfuko wa Rambo!
Utashauri wangapi?
ushirikina ni wide spread culture Tanzania
hata wewe yawezekana ulishalishwa uchafu tele ila hujui
unajua hata mama ntilie na wenye restaurant wanawalisha wateja uchafu huo huo ili wadhibiti soko?
go figure now