Mke anampenda mama zaidi yangu

Mke anampenda mama zaidi yangu

kama unataka kuendelea kuwa na mke mwongo, mke mchafu endelea kulalamika tu.....

we endelea na maisha yako like fufua wale wa kale akuondoe ktk stress za namna hiyo.... kama hatobadilika achana nae
 
Lazima yy na mama yk wana siri kubwa ambayo ww hauijui na hauto ijua mpk nikwambie.mama yk na mkeo ni wachawi kwa hy luck hufanya kazi pa 1 na hatoweza watenganisha acha woga. Fanya maamuzi yk alafu wao waache wafanye yao

Aisee wewe! Utakuwa mchawi pia ww umewajuaje
 
sasa kwanini na wewe ulimpa mimba mwanamke ambae hakupendi?!
 
pole mkuu, mapungufu yake hayo ni mazito kuyavumilia......
kama hakupendi huyo hakufai, mwache aishi na mama then fanya maisha yako mengine
 
Back
Top Bottom