esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
nimeoa mke na tunaishi jirani na mama mzazi.nimegundua kuwa:-
1.mke wangu hana mapenzi ya dhati na mimi, bali alikubali tu kwa kuwa nilimpa ujauzito kabla ya kumuoa.
ananiletea kiburi na nikimkaripia ananiambia nimrudishe kwao. ninapopeleka mashtaka kwa mama anamkingia kifua maana wanapendana sana na kwa kweli anamhudumia vizuri sana mama yangu.
2. ana tabia ya uongo sana na nimejitahidi kumrekebisha bila mafanikio.
3. ana tabia ya uchafu kuanzia nguo hadi nyumbani, ameshindwa kabisa kujibadilisha hadi nimejiachia kumuelimisha.
nashindwa kumuacha maana ni kipenzi cha mama yangu na naogopa laana ya mama na nimetumia wazee lakini mama hataki kunielewa.
nifanyeje?