Mke anahitajika haraka

Duh! Mke wa haraka haraka! Haraka haraka inaweza isiwe na baraka. Kumbuka. Unatafuta mwenzi wa maisha mwanangu. Hivyo, ningeshauri haraka iepuke usijejuta haraka. Ni ushauri tu
 
Sijui swala la Mwenza huwa mnalichukuliaje.

Eti Mke anahitajika haraka. Just as if, ni bidhaa ya kuchomoa mahali kisha unalipa na kujibebea mzigo wako.
Teh teh 😂😂 jamaa ana haraka kweli kweli..
 
Duh! Mke wa haraka haraka! Haraka haraka inaweza isiwe na baraka. Kumbuka. Unatafuta mwenzi wa maisha mwanangu. Hivyo, ningeshauri haraka iepuke usijejuta haraka. Ni ushauri tu
Shukrani kwa ushauri,ndivyo waungwana wanavyofanya
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…